Aliya kutapeliwa ardhi,aomba Mhe.Lukuvu kumsaidia
Waziri wa ardhi,nyumba na maendeleo ya makazi Mhe. Willium Lukuvi ameombwa kuingilia kati mgogoro wa kiwanja no. 26 block G tegeta baada ya nyumba ya famili ya ya watu 4 kuvunjwa na taasisi moja ya kibenki licha ya kuwepo kwa katazo la mahakama.