Magongo Dar waadhimisha Olimpiki kwa Wanafunzi
Katika kuelekea shamrashamra za mashindano ya Olimpiki ambayo mwaka huu yanafanyika huko Jijini Rio Brazil familia ya mchezo wa mpira wa magongo mkoa wa Dar es Salaam wao wanafanya maadhimisho ya mashindano hayo kwa mashindano ya shule za msingi.