Jumuiya yatoa mwongozo wa kupata EFD za bure
Wafanyabiashara jijini Dar es Salaam wametakiwa kufuata miongozo inayotolewa na Jumuiya ya Wafanyabiashara pamoja na ile ya Mamlaka ya Mapato TRA, juu ya namna ya kupata mashine za risiti za kielektroniki maarufu kama mashine za EFD.