Makamu wa raisi mgeni rasmi kongamano la Afya

Tafiti za magonjwa yasiyo ya kuambukiza, mifumo ya afya, huduma za madawa pamoja na dawa za jadi na dawa mbadala zinatarajiwa kuwasilishwa na chuo kikuu cha afya ya sayansi Muhimbili kwa lengo la kuboresha sekta ya afya nchini.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS