Waliofukuzwa UDOM baadhi walistahili - Magufuli
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli amesema kwamba baadhi ya wanafunzi waliofukuzwa Chuo Kikuu Dodoma UDOM kati ya wale 7,802 walistahili kwa kuwa wengi walikuwa na Divion 3 na 4 na hawakuwa na vigezo vyakusoma Stashahada.