Asasi za kutetea walemavu zaonywa
Naibu Waziri (Ofisi ya Waziri Mkuu), Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu Dk. Abdallah Possi amezitaka asasi na vyama vinavyojishughulisha na kutetea haki za walemavu kuacha tabia ya kutumia asasi hizo kwa ajili ya maslahi yao binafsi.