Moto watetekeza kituo cha Yatima Iringa

Kituo cha Faraja kabla ya kuungua.

Moto umetetekeza mabweni manne katika kituo cha kulea watoto ya Yatima na waishio katika mazingira magumu, cha Faraja kilichopo mkoani Iringa, na kusababisha hasara ya shilingi milioni 140.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS