Ndejembi ateuliwa kuwa DC wa Kongwa

Bw. Deogratius John Ndejembi Mkuu Mpya wa Wilaya ya Kongwa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 07 Julai, 2016 amemteua Bw. Deogratius John Ndejembi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kongwa Mkoani Dodoma.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS