TOC: Wanamichezo 12 kwenda Olimpiki Rio
Baada ya hali ya kusubiri kwa muda mrefu huku baadhi ya wanamichezo wakishindwa kufuzu kamati ya Olimpiki Tanzania TOC imeanika majina ya wanamichezo 12 watakaokwenda kuiwakilisha nchi katika michuano hiyo itakayofanyika mjini Rio nchini Brazil.