Ngoma ya 'Domo Langu' ilisota sana - Timbulo

Msanii wa muziki wa Bongo Flava Timbulo

Msanii wa muziki wa Bongo Flava Timbulo amesema kutoka kimaisha siyo kazi rahisi kwani hata yeye akikumbuka namna ambavyo aliacha ualimu na kujikita kwenye muziki ila kabla hajajulikana kwenye muziki alisota sana hadi akaamua kuanza kulima.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS