Tunatamani kuishi Tanzania - Raia wa China Baadhi ya wataalam wa tiba kutoka nchini China Timu ya wataalam wa tiba kutoka nchini China wanaokuja nchini Tanzania kusaidia kutoa huduma za tiba katika hosipitali ya taifa ya muhimbili wamesema kuwa wamevutiwa sana kufanya kazi nchini Tanzania. Read more about Tunatamani kuishi Tanzania - Raia wa China