Halmashauri zaagizwa kufanya mapitio ya watumishi

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa amezitaka Halmashauri zote nchini kufanya upya mapitio ya watumishi wa mikataba ambao wameajiriwa na serikali ili kutoa huduma mbalimbali.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS