Jaffo aagiza ujenzi wa miundombinu Soko kuu Dodoma
Ujenzi wa barabara ya Soko Kuu la Majengo Mkoani Dodoma uko mbioni kuanza Kujengwa baada ya kukaa muda mrefu bila matengenezo hali iliyowafanya wafabiashara kushindwa kufanya biashara zao kwa ufanisi.
