Wafungwa kifungo cha maisha Jela kwa ubakaji
Mahakama ya Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya imewahukumu kutumikia kifungo cha maisha jela vijana wawili wakazi wa wilayani Chunya mkoani hapa kutokana na kosa la ubakaji wa mwanamke mmoja waliyembaka mbele ya watoto wake.
