Arsenal yatakata Marekani, yaichapa Chivas 3-1 Klabu ya soka ya ligi kuu ya nchini Uingereza, Arsenal, imeichapa mabo 3-1, klabu ya Chivas, ya ligi kuu ya soka ya Mexico, kwenye mchezo wa kirafiki. Read more about Arsenal yatakata Marekani, yaichapa Chivas 3-1