Sadiki aonya watumishi watakaowapa mimba wanafunzi Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Said Meck Sadiki Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Said Meck Sadiki amekemea vikali tabia ya walimu pamoja na watumishi wa umma wanaowarubuni wanafunzi wa shule katika mkoa huo kwa kuwapa mimba na kuwaharibia maisha. Read more about Sadiki aonya watumishi watakaowapa mimba wanafunzi