TUGHE yataka waajiri kurekebisha mikataba Arusha
Chama cha Wafanyakazi ngazi ya serikali za mitaa (TUGHE) kimewataka waajiri kuondoa tatizo la mikataba iliyopitwa na wakati ambayo haiendani na mazingira halisi na badala yake waiboreshe ili iweze kutoa haki za msingi za wafanyakazi
