Mifuko rafiki wa mazingira yaanza kugawiwa Dar

Umoja wa watengenezaji mifuko iliyo rafiki wa mazingira jijini Dar es salaam (UWAMITA) leo umezindua kampeni yake ya kugawa mifuko hiyo bure kwa wafanyabiashara katika masoko mbali mbali ya manispaa ya Ilala

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS