Tanzania kuingiza mamilioni mradi dawa ya malaria
Tanzania inatarajia kuingiza kiasi kikubwa cha pesa za kigeni kufuatia kukamilika na kuanza kazi kwa kiwanda cha LABIOFAM kilichopo Kibaha mkoa wa Pwani, kinachozalisha dawa za kibaiolojia zinazotumika kupambana na ugonjwa wa malaria.
