Hatari kwa afya. Wachuuzi wa matunda wakisubiri wateja katika Mtaa wa Indira Ghandi jijini Dar es Salaam jana, bila ya kuyafunika jambo ambalo ni hatari linaweza kuhatarisha afya ya walaji. Read more about Hatari kwa afya.