Koba Mc achukizwa na Miss Tanzania

Msanii Koba Mc

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Koba Mc amesema amechukizwa na kusikitishwa kwa kitendo cha kupigwa kwa wingi muziki wa Nigeria kwenye mashindano makubwa ya urembo nchini  (Miss Tanzania) kuliko muziki wa wasanii wa hapa nyumbani.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS