Sihitaji meneja nahitaji ushauri – Mr. Blue Mr Blue (Kulia) akiwa na Abby Skillz ndani ya FNL Msanii wa Bongo Fleva Mr. Blue amesema hahitaji kuwa na meneja wa kumsaidia katika kazi zake baada ya kuwa nao mara kadhaa na kutoona mafanikio yake. Read more about Sihitaji meneja nahitaji ushauri – Mr. Blue