CHADEMA yaukataa muswada wa vyombo vya habari
Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA kimesema kuwa Muswada wa Sheria ya Huduma za Vyombo vya Habari unaotarajiwa kuwasilishwa kwenye Mkutano wa Bunge unaoanza Jumanne, Novemba 1, mwaka huu, ni hatari.

