Walinzi wasio na mafunzo ya kiaskari marufuku
Ili kupambana na wizi na ujambazi na aina mbalimbali za uhalifu, mkuu wa wilaya ya Njombe, Ruth Msafiri amepiga marufuku kampuni za ulinzi kuwa na walinzi raia na badala yake kutoa ajira kwa Migambo waliofuzu mafunzo ya uaskari.

