Baba wa Mashali asimulia kilichomkuta mwanaye Marehemu Thomas Mashali Mzee Malifedha Christopher Mashali baba Mzazi wa Thomas Mashali ambaye ameuawa na watu wasiojulikana usiku wa kuamkia leo huko Kimara jijini Dar es Salaam amefunguka na kuelezea kilichomkuta mwanaye. Read more about Baba wa Mashali asimulia kilichomkuta mwanaye