Jaffo akemea wanaopandisha madaraja kwa rushwa

Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. Seleman Jaffo.

Wakuu wa idara wa halmashauri na taasisi mbalimbali za serikali wameaswa kutenda haki na kuacha tabia ya kudai rushwa ili kupandisha watumishi madaraja au kutoa nafasi za kazi kwa upendeleo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS