Magufuli azindua barabara ya Southern By-pass

Rais Magufuli na Rais Uhuru Kenyatta wakifungua jiwe la msingi la barabara ya Southern Bypass

Rais wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Rais wa Kenya Mhe. Uhuru Kenyatta leo wamezindua barabara ya Southern By-pass iliyojengwa kwa lengo la kupunguza msongamano wa magari katika Jiji la Nairobi nchini Kenya.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS