Murray bado hatua moja kumshusha Djokovic Andy Murray amebakiza hatua moja pekee ili kuwa kinara wa tenisi duniani, baada ya kumchapa Jo-Wilfried Tsonga kwa seti za 6-3 7-6 (8-6), kwenye fainali ya Erste Bank Open mjini,Vienna. Read more about Murray bado hatua moja kumshusha Djokovic