Jamani sijafa hata mafua siumwi - Muhogo Mchungu
Muigizaji mkongwe kwenye tasnia ya filamu nchini Abdallah Makumbila alimaarufu kama Muhogo Mchungu amekanusha taarifa zilizosambazwa kwenye mitandao ya kijamii kuwa amefariki na kusema kuwa yeye saizi hasumbuliwi hata na mafua.