Simbachawene aiwakia Bodi ya Mfuko wa Barabara
Serikali imeagiza bodi ya mfuko wa barabara kutoa sababu zinazosababisha bodi hiyo kutenga fedha kidogo kwa ajili ya kujenga barabara zilizopo chini ya mamlaka ya serikali za mitaa tofauti na fedha zinatotengwa kwa TANROADS.