Samatta Uwanjani Leo Kuiongoza Genk Vs Sasuolo Mshambuliaji Mbwana Samatta, atakuwa na kazi wakati KRC Genk itakapokuwa inawavaa Waitaliano Sasuolo, kwenye mechi za makundi ya Ligi ya Europa leo. Read more about Samatta Uwanjani Leo Kuiongoza Genk Vs Sasuolo