Washikaji zangu wengi wananikosea - Jux

Jux

Msanii Juma Jux amefunguka na kusema kuwa katika maisha ya kila siku jamaa zake wa karibu ndiyo wamekuwa wakimkosea kiasi cha yeye kuvunja nao urafiki kabisa kwa kuwa wamekuwa wakimkatisha tamaa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS