Pato la Taifa laongezeka kwa shilingi trilioni 0.8

Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Dkt Albina Chuwa (kulia) akizungumza na wanahabari jijini Dar es Salaam leo.

Ofisi ya Taifa ya Takwimu nchini Tanzania imetoa taarifa kuhusiana na pato la taifa katika robo ya pili ya mwaka inayoanzia April hadi Juni mwaka huu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS