Nyota 24 Taifa Stars waitwa kambini Oktoba 2
Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Charles Boniface Mkwasa ametaja majina ya nyota 24 watakaounda kikosi kitakachosafiri mwishoni mwa wiki ijayo kwenda Addis Ababa, Ethiopia kucheza mchezo wa kirafiki wa kimataifa utakaofanyika Oktoba 8, mwaka huu.