Thabit Abdul aahidi kuipeleka taarab kanisani Thabit Abdul Mkali wa muziki wa taarabu Thabit Abdul amesema ana mpango wa kusapoti kukua kwa muziki wa Injili kwa kufanya gospel yenye mahadhi ya taarab akiita "GOSPEL-TAARAB". Read more about Thabit Abdul aahidi kuipeleka taarab kanisani