Serikali yakanusha ripoti za uhaba wa dawa nchini

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu

Serikali imesema hakuna uhaba wa dawa nchini kwa sasa kama inavyoendelea kuuenezwa na baadhi ya watu na kusisitiza kuwa habari hizo ni za upotoshaji na zinalenga kuwatisha wananchi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS