Bunge kufikishwa TAKUKURU kwa tuhuma za rushwa
Mamlaka ya Udhibiti wa Manunuzi ya Umma (PPRA), inakusudia kuzifikisha taasisi tisa za serikali katika Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa, (TAKUKURU) ili kuchunguzwa kutokana na kuonesha viashiria vya rushwa.