Watumishi 5 Manyoni kusimamishwa kwa uzembe kazini
Mkuu wa Wilaya ya Manyoni Mh. Geoffrey Idelphonce Mwambe amemwagiza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Manyoni Bw. Charles Edward Fussi, kuwasimamisha kazi mara moja watumishi watano wa halmashauri hiyo.