Mbinu mpya zaja kudhibiti dawa za kulevya mipakani
Mkuu wa kitengo cha kupambana na kudhibiti dawa za kulevya nchini Kamishna Msaidizi wa Polisi Mihayo Msekela.
Tume ya kudhibiti na kupambana na dawa za kulevya nchini, imeanza kutumia mbinu mpya za kupambana na kudhibiti usafirishaji na usambazaji wa dawa za kulevya katika maeneo ya mipakani hapa nchini.