Mkwasa aipania mechi dhidi ya Ethiopia
Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Tanzania Charles Boniface Mkwasa amesema, hachukulii mchezo dhidi ya Ethiopia kama mchezo wa kirafiki pekee bali anakiandaa kikosi chake kupambana kwa ajili ya kujiweka katika nafasi nzuri ya viwango vya ubora vya FIFA