Bob Junior amchana Chameleone kuhusu video yao
Producer na muimbaji tokea Sharobaro Records, Bob Junior amemchana mkali tokea pande za Uganda, Jose Chameleone baaa ya kufanya wimbo pamoja ambao video yake haijatoka, wimbo unaofahamika kwa jina la "Siachani Naye" mwanzoni mwa mwaka huu.