Billnas aungana na Nuh Mziwanda kumvaa Petit Man Nuh Mziwanda na Billnas Mwanzilishi wa kundi la LFLG rapa Billnas ameunga mkono tuhuma za Nuh Mziwanda kwa kumshukia meneja wao Petit Man juu ya uongozi mbaya na upigaji wa hela kupitia mgongo wao. Read more about Billnas aungana na Nuh Mziwanda kumvaa Petit Man