CHADEMA yafuta rasmi maandamano ya UKUTA Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, hatimaye leo kimetangaza kufuta rasmi maandamano na mikutano ya hadhara iliyokuwa imepewa jina la UKUTA. Read more about CHADEMA yafuta rasmi maandamano ya UKUTA