Darasa, Billnas wamshukuru Mwana FA kwa kuwatambua Rapa wawili ambao kwa sasa wanafanya vizuri kwenye muziki wa bongo Darasa pamoja na Billnas wamefunguka na kutoa shukrani kwa msanii Mwana FA baada ya msanii huyo kuwatambua. Read more about Darasa, Billnas wamshukuru Mwana FA kwa kuwatambua