CHADEMA yafuta rasmi maandamano ya UKUTA Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, hatimaye kimetangaza kufuta rasmi maandamano na mikutano ya hadhara iliyokuwa imepewa jina la UKUTA. Read more about CHADEMA yafuta rasmi maandamano ya UKUTA