Kufanya Collabo na Man Fongo ni hadi 2020- TID Msanii TID Msanii wa Bongo Fleva nchini TID amesema atakuwa tayari kufanya kazi na msanii maarufu wa Singeli nchini Man Fongo ifikapo mwaka 2010 na siyo kwa sasa. Read more about Kufanya Collabo na Man Fongo ni hadi 2020- TID