Naweza kufanya filamu bure kukuza vipaji - Jengua
Mzee Mohammed Fungafunga maarufu katika tasnia ya filamu kama Jengua amefunguka na kusema anaweza kufanya filamu hata bure ili kuwasaidia wasanii wachanga waweze kutoka katika tasnia ya filamu nchini.