Mfumuko wa bei mwezi Oktoba wabaki palepale

Mtakwimu Mkuu kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Bi. Ruth Minja (kulia) akizungumza na wanahabari hawapo pichani

Mfumuko wa bei kwa mwezi Oktoba mwaka huu umebaki kiwango kile kile kilichokuwa mwezi Septemba, ambapo kasi ya kupanda kwa bei ya bidhaa na gharama za huduma imebakia katika kiwango cha asilimia 4.5

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS