Benki ya Twiga Bancorp yaanza kazi tena

Wateja wakigombania kuingia ndani ya benki ya Twiga, Makao Makuu mtaa wa Samora jijini Dar es Salaam hii leo.

Benki ya Twiga Bancorp imeanza kutoa huduma zake hii leo baada ya kufungwa kwa zaidi ya wiki moja kutokana na kile ambacho Benki Kuu ya Tanzania imekitaja kuwa ni upungufu wa mtaji unaoifanya benki hiyo kujiendesha kwa hasara

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS