Bunge laitaka serikali isisaini makubaliano ya EPA

Job Ndugai

Mkutano wa Tano wa Bunge la Tanzania umeishauri Serikali kutosaini Mkataba wa Makubaliano ya Ushirikiano wa Kiuchumi Kati ya Jumuiya ya Nchi za Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya Nchi za Ulaya (EU) – (EPA) kwa kuwa hauna manufaa kwa Tanzania

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS